UFUGAJI BORA WA NGURUWE
ELIMU YA UJASILIAMALI JUU YA UFUGAJI WA NGURUWE MCHANGANUO MDOGO WA MRADI WA NGURUWE -Nguruwe watoto 20 @ 20,000 = 400,000 – Banda la mabanzi=1,000,000 – Chakula = 1,000,000 – Dawa= 200,000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000. After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike). Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500. 1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil. Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda chuo cha sokoine (SUA) na vyuo vingine vya kilimo na mifugo ukaonane na wataalamu au tembelea maofisa ugani na wataalam mbalimbali wa mifugo au wafugaji wenye uzoefu. ZIJUE KANU...