UFUNGAJI WA KUKU WA MAYAI
Kijan amk huu mwaka uwe wa mafanikio kwako fanya vitu kwa malengo na kwa manufaa ya baadaye simple tuuuuuuuh wazo moja I mfano kam umeamuwa I kwejiusisha na ufugaji wa kuku wa mayai Wana faida zake pia hat hasara ipo kumbe kweny biashara lazim upate faida na hasara kwahy ndg zangu kam ukiwa na kuku mmoja wa mayai kwa siku anatag yai moja kwa mwezi anatag mayai 30 kwahy ukiwa na kuku Mia watatag mayai si chini ya trei 3 kwa siku kwahy kwa mwezi itakuwa si chin trei 90 hapo anatag kila siku na trei moja ni shilingi 7500 kwa bei ya wastani kunakipind yanakuw hadimu inafik pk trei shlng 9000 kwahy kwa siku utakuw umepat shlng 22,500 so kwa mwezi utakuwa umepata shlng 675000 hapo kwa mwez nahao kuku Mia wanakula chaula hakizid laki 350000 kwahy ukiwa na kuku Mia 500 kwa siku utaokot kwawastani mayai trei 15 kwahy kwa mwezi itakuwa trei 450 na kila trei ni shilingi 7500 kwahy kwa mwezi utakuwa na shlng 3375000 kwamatumiz ya chakula na dawa hapo jumla itakuwa shlng 2,300,000 kwahy ww utakuwa umebaki na faida ya shlng million 1 na elfu 75 hy ndorah yakuwa mfugaji. Huu mwaka wako kijan jiongez huuu ndomwaka wa mafanikio kwako. Mm nakushaur na nishawafug hao kuku kwahy jiongeze ss. Thanks u and nice day.
Nimeipenda hiii
ReplyDelete