Posts

KILIMO BORA CHA NYANYA

Image
KILIMO BORA CHA NYANYA 1.0 UTANGULIZI Nchini Tanzania zao la nyanya hulimwa karibu katika mikoa yote hasa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Mwanza, Dodoma, Tanga, Pwani na Mbeya. Nyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika majira yote (masika na kiangazi), na faida hupatikana haraka na ni ya kuridhisha ikilinganishwa na mazao mengine. Pamoja na umuhimu wa zao hili, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato la kaya yake ni vema kuzingatia kanuni bora za kilimo pamoja na udhibiti wa magonjwa na wadudu wa zao hili. Kwa manispaa ya Musoma zao la nyanya hulimwa na wakulima hulitegemea zao hili kama zao la biashara kwa kuwa huwapatia faida kubwa ukilinganisha na mazao mengine ya mbogamboga. Halmashauri ya Manispaa ya Musoma imelipa kipaumbele zao hili kwa kulichagu zao hili na kuliweka kwenye mnyororo wa thamani kwa kutoa mafunzo ya kilimo bora cha zao la nyan...

KILIMO CHA VITUNGUU

Image
UTANGULIZI Vitunguu maji kwa kitaalamu hujulikana kama Allium cepa na kwa kiingereza huitwa Bulb Onions. Vitunguu ni zao muhimu sana sio kwa matumizi ya ndani tu lakini pia ni zao la kibiashara linaloweza kukuletea kipato kikubwa.   Vitunguu ni zao la bustani  (Horticultural crop) ambalo lipo kwenye kundi la mboga mboga (vegetables). Zao hili ni maarufu kutokana na thamani ya virutubisho ilivyonavyo na ladha yake kwenye mapishi ya vyakula mbalimbali. Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu kila siku katika mlo wa familia za kitanzania. Afrika Mashariki, na Dunia Nzima. MATUMIZI YA VITUNGUU Vitunguu hutumika katika kutengeneza kachumbari, kiungo cha mboga, nyama na samaki. Majani ya kitunguu hutumika kama mboga. Vitunguu pia hutumika kutengeneza supu n.k KILIMO Nchini mwetu vitunguu hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Tanga,  Arusha sehemu za Mang’ora na Babati, Kilimanjaro, Singida, Morogoro, Iringa wilaya ya Kilolo mpakani mwa mkoa wa Morogor...

UFUGAJI BORA WA NGURUWE

Image
ELIMU YA UJASILIAMALI JUU YA UFUGAJI WA NGURUWE MCHANGANUO MDOGO WA MRADI WA NGURUWE -Nguruwe watoto 20 @ 20,000 = 400,000 – Banda la mabanzi=1,000,000 – Chakula = 1,000,000 – Dawa= 200,000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000. After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike). Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500. 1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil. Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda chuo cha sokoine (SUA) na vyuo vingine vya kilimo na mifugo ukaonane na wataalamu au tembelea maofisa ugani na wataalam mbalimbali wa mifugo au wafugaji wenye uzoefu. ZIJUE KANU...

UFUNGAJI WA KUKU WA BROILER

Image
Kijan amk huu mwaka uwe wa mafanikio kwako fanya vitu kwa malengo na kwa manufaa  ya baadaye  simple tuuuuuuuh  wazo moja jingine mfano ukaamua kufuga kuku wanyam yani kwajin halis (BROILER) kuku haw wanafaid  ya harak San  maan kuku hawa wanakuwa kwa wiki 4 tuuuuuuuh  unaweza kuwauza ss ukaamua kufug kuku wa nyama  Mia 2  wananakul  si zaid ya mifuko ya chakula  15   wakiwa  vifarang ndani ya wiki 1 na nusu wanakula  mfuko 1 na nusu  baada ya hap wanaanza kula chakula grower ndani ya wiki moja na nusu  kwahy wanakuw wamefikish wiki 3 wanakula mifuko 5 ya Growther ss wiki ya nne wanakula chakula mifuko 5 ya finisher  hao nikuku Mia 2 tu ambao kuku 1 ni shilingi 6500  kwhy kuku 200 watakupa shlng million 1 na laki 3  kwahy  bei ya chakula na matumiz mengine  itakuw si zaid ya shilng laki 8  kwahy faida yako itakuw ni shlng laki 5  unakuwa huna hasar.  Ss tunakuj kwa ...

UFUNGAJI WA KUKU WA MAYAI

Image
Kijan amk huu mwaka uwe wa mafanikio kwako fanya vitu kwa malengo na kwa manufaa  ya baadaye  simple tuuuuuuuh  wazo moja I mfano kam umeamuwa I kwejiusisha na ufugaji wa kuku wa mayai  Wana faida zake pia hat hasara  ipo  kumbe kweny biashara lazim upate faida na hasara  kwahy  ndg zangu  kam ukiwa na kuku mmoja  wa mayai kwa siku anatag yai moja  kwa mwezi anatag mayai 30  kwahy ukiwa na kuku Mia  watatag mayai si chini ya trei 3 kwa siku  kwahy kwa mwezi itakuwa si chin trei 90  hapo anatag kila siku  na trei moja ni shilingi 7500  kwa bei ya wastani kunakipind yanakuw hadimu inafik pk trei shlng 9000 kwahy  kwa siku  utakuw umepat shlng 22,500 so kwa mwezi  utakuwa umepata shlng 675000 hapo  kwa mwez  nahao kuku  Mia wanakula   chaula  hakizid laki 350000 kwahy  ukiwa na kuku  Mia 500  kwa siku utaokot  kwawastani mayai trei 15 kwa...